Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Tangu tarehe 12 maisha ndio kama hivi lakin husikii sijui tunadondoka mtaani kama kuku mara tunakufa 50 Kwa cku kama wanavyotuombea Wakenya, hii ndio inatwa dua la kuku halimpati mwewe.