M Mbolabilika JF-Expert Member Joined Jul 30, 2019 Posts 2,128 Reaction score 2,867 Jun 28, 2020 #1 Tangu tarehe 12 maisha ndio kama hivi lakin husikii sijui tunadondoka mtaani kama kuku mara tunakufa 50 Kwa cku kama wanavyotuombea Wakenya, hii ndio inatwa dua la kuku halimpati mwewe.
Tangu tarehe 12 maisha ndio kama hivi lakin husikii sijui tunadondoka mtaani kama kuku mara tunakufa 50 Kwa cku kama wanavyotuombea Wakenya, hii ndio inatwa dua la kuku halimpati mwewe.
Justinr JF-Expert Member Joined May 22, 2020 Posts 3,709 Reaction score 6,832 Jun 28, 2020 #2 Wakenya gakuna cha kutuambia