Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Davido, msanii maarufu wa Nigeria mwenye uraia pacha wa Marekani na Nigeria, amejikuta kikaangoni huko mitandaoni baada ya kushiriki zoezi la kupiga kura nchini Marekani na ku-share furaha yake kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter (X) na Instagram. Akiandika "First Time Voter".
Suala ambalo limeibua mjadala kwa mashabiki wakidai kuwa wanashiriki Uchaguzi wa Taifa lingine huku wakiliacha Taifa lao. Kisheria, uraia wake wa nchi zote mbili unampa haki ya kupiga kura katika chaguzi za Marekani na Nigeria.
Pia, Soma: