Hali kadhalika walionesha kutoridhishwa na viwango vya wachezaji mbadala ambao walionekana kutojiamini au kuwa na uwezo mdogo sana, hata wengine wakathubutu kusema kuwa ni vigumu kwa timu hiyo kushinda mechi hiyo ya kirafiki, na inasemekana Maximo na timu nzima wameanza kuona uwanja huo mchungu ktokana na kuzomewa, na kuanzia sasa wamekuwa wakijishauri kufanya mazoezi uwanjani hapo, kwa maoni ya walio wengi wanaona muda wake umekwisha hakuna jipy