ikiumasema
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 923
- 1,299
king wako keshaolewa
Diamond platnumz na Ali kiba nina wakubali kwa sababu ni wasanii wa Tanzania wanaofanya vyema kwenye tasnia ya muziki, ila namkubali zaidi msanii WIZ KID.
[emoji23] [emoji13] [emoji119] [emoji119]
kipato tunacho cha kutosha mkuu na kazi ukitaka utapewa.Fanyeni kazi mjiongezee vipato kutwa
mnapaparika na issue za watu
[emoji23][emoji23][emoji23]Africa ipi unayoizungumzia?!isije Kuwa afrika Bambataa!!!
Labda nikupe kazi ww na familia yako yote fa.la wwkipato tunacho cha kutosha mkuu na kazi ukitaka utapewa.