Mashabiki wenzangu wa Arsenal tumjadili Wenger hapa

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,053
Reaction score
1,418
Niseme ukweli namchukia sana huyu mzee wa tetesi mwishowe inakula kwetu

Kweli unamnunua Takuma na kujiona umesajiri stricker au unamfukuzia Benteke wakati kule kuna Chicharito anapatikana kwa bei ya kawaida

Huyu mzee nataman hata afe
 
Kumchukia Wenger ni kaz bure tu, maana hta mwenye hisa nyingi anamkubal, anasajil kwa bei ndogo ili aje auze kwa bei kubwa, swala la vikbe tusahau, ubinhwa wetu top 4
 
Huyu mzee hakuna sababu ya kumjadili. Nilianza kumrindimia toka mwaka 2009 sasa alichokifanya binafsi naona kuendelea kumjadili na kumrindimia ni kupoteza nguvu zangu bure. Huyu mzee ana kibri cha hali ya juu na haambiliki kabisa
 
Inauma jaman acheni tu maisha ya kuwa wasindikizaji yanauma
 
Sidhani hata kama ulishawahi kulipia uanachama wako huko Arsenal achilia mbali kununua jezi.
 
wanaTAKUMA mambo vp jamani??
 
Sidhani hata kama ulishawahi kulipia uanachama wako huko Arsenal achilia mbali kununua jezi.
analipia buku kila mechi ya arsenal,na kias fulan inafika kwenye a/c ya arsenal pale london..kama haki ya tv
 
Takuma mzuri sana aisee ni mfungaji mzuri sana hata akiwa katika mazingira magumu anafunga vizur tu. Pia accuracy yake ni ya hali ya juu. Hofu ni ufupi wake ukizingatia atacheza ligi ngumu ya kutumia vyote maguvu na akili. NIMEMCHEKI YOUTUBE namna anavyopiga magoli.Ni mbishi pia kwenye kumiliki mpira.
 
Wenger ndio anajua.. sisi tuwe watazamaji..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…