Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Hii tImu Nilianza Kuipenda mwaka 1998 nikiwa Shule ya vidudu,Bi mkubwa alinunua Jezi number 7 mgongoni Imeandikwa Cantona,Kaka zangu wakawa wananipa story za Cantona,Tangu hapo nikawa mpenzi wa Manchester united,
Wakati Nasoma secondary school,usiku tulikua tunatoroka shule tunatembea karibu kilometers 3 tukaangalie Mpira, crazy right?? Manchester ilikua timu ya kuogopwa,kati ya mashabiki kumi wa mpira,7 tulikua Manchester,hao watatu Chelsea na Arsenal,kwa msimu nilikua naangalia mechi Karibu zote za Manchester..
Enzi za Vaan Gal na Moyes sikuangalia kabisa Manchester ikicheza,nilikua mahala Sina access ya mechi hizo zaidi ya kufatilia matokeo,enzi za Jose Mourinho nikawa naangalia tena Man u,niliangalia Mechi ZOTE,
Sasa hivi Sasa Hadi aibu,kuangalia Manchester ni kujitafutia magonjwa ya moyo,Leo tunacheza Na arsenal hata hamu ya kuangalia mpira Sina,najua tutapoteza,hata matokeo yakiwa tofauti Bado haitabadili maana kua wakati wetu umepita,.
Wenzangu ambao mnaangalia Manchester,tatizo ni Nini??Nini kimewakuta the Red Devils??