Mashabiki Wenzangu wa MAN U,timu yetu Ina matatizo Gani??

Yule kipara ni tatizo. Casemiro wa kucheza beki?.hana tofauti na benchikha
Kipara kachanganyikiwa maana karibu timu yote in majeruhi! Ma eki wote majeruhi; atamchezesha nani?!

Mbaya zaidi kuna wachezaji ambao wanapata majeraha ya mara Kwa mara, mfano Martinez, na Varane.

Uongozi unapaswa kufanya uchunguzi ili kupata sababu za kiwango kikubwa cha majeruhi.
 
Angalia last time team imesajili wachezaji wangapi? Na wangapi wame deliver?
Big name signing zitakuja endapo watavutiwa na mazingira ya timu.
Timu inapoteza mvuto unadhani wataweza kuvutia majina makubwa tena?
Kilichobaki sasa ni kupigwa hela tu na kupata akina Antony.
 
Hauwezi kumchezesha kipa striker sababu hauna striker.bora ubadilishe mifumo. Vinginevyo ni AIBU. casemiro kwa namna yoyote hawezi kuwa beki.ni sawa na kanoute hawezi kuwa striker kwa namna yoyote. ni kubahatisha tu
 
Kuna kitu cha siri anacho yule babu Fergie alikichomoa alipostaafu kufundisha Man Utd. Mpaka akirudishe klabuni ndio gari litawaka tena.
Siri za timu anazo yule babu. Wakimuweka mtu kati atasema!
 
hiyo timu tangu enzi hizo ilikuwa ni mbovu, sema nini, yule babu alikuwa na lake jambo
alipoondoka aliondoka na kitu chake. mtasumbuka sana hadi mjue kutafuta wachezaji wa maana
kifupi hakuna wachezaji
 
Guarantee.
Liverpool iliwachukuwa miaka 30 kuja kutwaa ubingwa wa epl. Ndipo mnapopita na nyie.
Arsenal kwa sasa nao wana miaka 20 hawapati ubingwa. Mpaka ifike 30+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…