Mashabiki wenzangu wa Miziki ya Congo DR (Bandeko Nangai) naomnba kumjua Mpiga Solo wa sasa wa Quarter Latin ya Koffi Olomide

Mashabiki wenzangu wa Miziki ya Congo DR (Bandeko Nangai) naomnba kumjua Mpiga Solo wa sasa wa Quarter Latin ya Koffi Olomide

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwani kwa Ukung'utaji wake wa Gitaa tamu na nilipendalo la Solo naona anataka Kuwatishia kabisa Amani Wapiga Solo HATARI wa Wenge Musica BCBG (yake JB Mpiana) aitwae Mitre Ficare Mwamba na Flam Kapaya wa Wenge Maison Mere ya Werrason.

Kuna Wimbo mmoja Mtamu kama si Mzuri wa Koffi Olomide uitwao MBEMBE Jamaa kanipigia Solo hadi Ninaserebuka.
 
Wale waliokuwa Wapiga Solo wake HATARI na MAHIRI akina Ramazan Fulutuni na Felly Tyson Debafome wako wapi?
sijui mkuu, ila mwamba namkubali sana, hanaga unafiki kwa kile apendacho, kwa mfano anasemaga yeye anapenda kunyandua pisi kali na hawez jificha kwa hilo.
 
sijui mkuu, ila mwamba namkubali sana, hanaga unafiki kwa kile apendacho, kwa mfano anasemaga yeye anapenda kunyandua pisi kali na hawez jificha kwa hilo.
Sijayaelewa vyema Maelezo yako haya hasa baada ya kujibu....sijui mkuu.....
 
Mkuu nenda kwa Ferre Gola huko kuna betong mtafute hata Heritier Wata huko ndio kuna micharazo haswa wakisema sebeneeee basi utacheza mpaka uzirai.
 
Back
Top Bottom