Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Uzi mzuri sana kwa ajili ya kupeana updates za kazi kutoka kwenye kundi la Abdallah Nzuda na mwenzie Amini Samofi
Hapa tutajadili michezo yao iliyotuvutia zaidi, matukio pamoja na wasifu wa wahusika wengine wengi
Mkojani Gang karibuni tuuporomoshe uzi
Kwa kuanzia:
Kuna yule jamaa aliyeigiza kama baba wa Jamila aliyekuwa na pete ya ajabu, Haji Salumu. Hivi yule jamaa hana undugu na Kamugisha Rwiza kweli? Mbona wanaelekea kufanana hata kimatendo?
Uzi mzuri sana huu