Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Shikamoo[emoji7]Tupo
Nadhani mkojani ndiyo best actor kwa sasa hapa Tanzania. Anachonifurahisha kabeba uhusika wa tamaduni za ki pwani. Hongera zake hongera sana baba JK maana bila Dkt Kikwete kuwekeza kwa wasanii wasingetoka.Uzi mzuri sana kwa ajili ya kupeana updates za kazi kutoka kwenye kundi la Abdallah Nzuda na mwenzie Amini Samofi
Hapa tutajadili michezo yao iliyotuvutia zaidi, matukio pamoja na wasifu wa wahusika wengine wengi
Mkojani Gang karibuni tuuporomoshe uzi
Kwa kuanzia:
Kuna yule jamaa aliyeigiza kama baba wa Jamila aliyekuwa na pete ya ajabu, Haji Salumu. Hivi yule jamaa hana undugu na Kamugisha Rwiza kweli? Mbona wanaelekea kufanana hata kimatendo?
Uzi mzuri sana huu
[emoji1][emoji1]Na kweli mkuu. Mpaka sasa nimekuwa addicted kabisaaKama nawaona vile jinsi mnavyo furahia muvi za hao jamaa zikioneshwa wakati mkiwa safarini kwenye yale mabasi ya Mikoani.
Ni aibu sana kwa mwanaume kufurahia na kuchekeshwa na wakina mkojani. Hayo masuala waachieni wanawake, wadada wa kazi na watoto nyumbani.
Nilifikiri kuwa nimeona vyote kumbe bado maajabu yapoUzi mzuri sana kwa ajili ya kupeana updates za kazi kutoka kwenye kundi la Abdallah Nzuda na mwenzie Amini Samofi
Hapa tutajadili michezo yao iliyotuvutia zaidi, matukio pamoja na wasifu wa wahusika wengine wengi
Mkojani Gang karibuni tuuporomoshe uzi
Kwa kuanzia:
Kuna yule jamaa aliyeigiza kama baba wa Jamila aliyekuwa na pete ya ajabu, Haji Salumu. Hivi yule jamaa hana undugu na Kamugisha Rwiza kweli? Mbona wanaelekea kufanana hata kimatendo?
Uzi mzuri sana huu
Ndiyo ukae sebuleni uacheka kwa kumuangalia Mkojani? Kuwa serious.Aliekuambia uanaume hautaji kua na furaha nani?
Awe serious na Nini Sasa?Ndiyo ukae sebuleni uacheka kwa kumuangalia Mkojani? Kuwa serious.
Na uanaume wakeAwe serious na Nini Sasa?
😂😂 nakazia Aibu zaidi ni pale unapoacha kaz zako na kufuatilia hao wakina mkojani.Ni aibu sana kwa mwanaume kufurahia na kuchekeshwa na wakina mkojani. Hayo masuala waachieni wanawake, wadada wa kazi na watoto nyumbani.