Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Naam uzi huu ni kwa mashabiki wenzangu wa chelsea.
Kutokana na vikwazo iliyowekewa klabu na serikali ya uingereza, inaonekana kuna nafasi kubwa kwamba klabu yetu pendwa inaenda kupata anguko kubwa sana.
Hakuna hela inayoingia kwenye klabu kwa sasa kwaio kutokana na matumizi makubwa ya klabu pamoja na mishahara kuna wasiwasi klabu isiweze hata kumaliza msimu kama mgogoro huu hautomalizika mapema na klabu kupata mmiliki mpya.
Je mashabiki wenzangu mpo tiari kupokea anguko la timu yetu ambayo ndo bora duniani kwa sasa.?
NB; mimi binafsi nitaendelea kuishabikia hatakama ikienda championship