Chelsea kabla ya abramovich ilikuwa ni timu ya kati pale uingereza kama unavyoiona tottenham,everton na newcastle. Tatizo vijana wengi wameanza kuishabikia hii timu ilivyochukuliwa na Roman...ila mimi binafsi niliipenda chelsea toka wanacheza kila ruud gulit na gianluca vialli,g zola,mark hughes n.k ilikuwa ni timu ya kawaida tu isiyo na ndoto hata ys kupata ubingwa zaidi ilikuwa ina aim kumaliza ligi kwenye nafasi 8 za juu