How else could u explain Kenyas prosperous economy under the Kikuyu founding father Kenyatta.Then we get a Kaleo that is Moi an Kenya lives thro 2 decades of complete hopelessness.So we get a Kikuyu back in charge.But when things are starting to get organised,in come the spoilers as they have always done since forever.The Odingas an the Luo herd mentality.U Tanzanians have no idea.The Luo is one stubborn people.They don't believe in an honest day of work.They live for welfare.They exist next to the second biggest freshwater lake in the world but the significance of it is negligible to the economy.Coz all they do is sit by it,whine howl an cry of hunger while the fish swim by.Their neigbors,the Kisiis are famous with the bananas an all kinds of fresh produce.The Luhyas to their north are great sugarcane growers an maize farmers.The current crisis in Kenya is not based on hate,but on a people thinking that somebody owes them something.
Aloo Bwana Matatizo,
Kwanza kabisa hebu shika adabu na adabu ikushike.Ni wazi kua unawachukia wajaluo na hizo ni sera zenu nyie wakikuyu.Hapa Bongo tunakuomba uende mwendo wa aste aste nasi.
Pili nataka nikufahimishe pia hapa Bongo kuna wajaluo na hatuwaangalii na huo mtazamo wako/wenu nyie wakikuyu.Kwa hivyo usijaribu kutubadili mawazo kwa kuleta mawazo yako tasa.
Tatu ni kwamba hio seketa ya Kenya tunaifuatilia na tushajua kulikoni.All we are wondering as Tz's ni kama suluhisho la kudumu litapatikana ili muishi salama na msiwe wakimbizi huku kwetu.Hilo zegere lililopo Kenya sio kwa sababu ya hio kitu usemayo eti "
somebody owes them something" bali ni kwa sababu they believe "
somebody has been treating them unfairly and distributing the national cake selectively".This can be evidenced in the distribution ya ile kitu mnaita CDF.
Jambo la nne ni kuhusu huyo Kenyatta wenu aliyekua mwizi nambari moja lakini mnataka kumsifu kwa wale wasiojua.Kwa wale wabongo msomao hii nakala ,huyu bwana aliiba mashamba baada ya masettler kuhama kenya.Baadhi ya mashamba aliwagawia vigogo f'lani waliokuwa wandani wake.Kuna watu kama Mbiyu Koinange,Njenga Karume na huyu Kibaki.Yaani watu watatu wanamiliki ardhi iliokaribu nusu mkoa kwa ukubwa. Ishhhhhhhhhhhh!!!
A'fu kwa ubavu wa pili kuna maskwata kibao wako nje wakiangalia ndani kwa tamaa.Hao wakikuyu wanaotimuliwa mitaa ya Bonde la Ufa wengi wao ukweli wa mambo ni kwamba walitakiwa warudishwe mitaa ya kati ya kenya pindi tu uhuru ulipopatikana.Lakini Kenyatta aliwahadaa na kuwaambia waunde vyama vya ushirika na akawapa mikopo wakanunue mashambe huko Rift Valley.Kinachoniskitisha na kunifanya niemkwe na maneno ni mbona hawakumwambia Kenyatta wanataka kurudi Central Kenya ambako ni their original homeland?Obviously hawangeweza maana Kenyatta na mabepari wake walikua washayamiliki.Hapa ndipo walipoanza ile story mnayoskia eti
'mkenya ana haki ya kuishi kokote kule'.Leo hii story imebadilika maana sehemu walizomiliki kwa ulaghai sasa wenyewe wamehamasika na wanataka vyao.Je sasa?
Poleni kwa aya ndefu lakini naomba mvumilie na msome yaliomo ndo mjue hawa ni watu wa aina gani.Sasa pia mnaelewa kwa nini wanakimbilia kutaka kuset-up EAF.Wabongo naomba tuwe waangalifu dhidi ya watu kama hawa both from within and without.