Mashahidi dhidi ya Rais Kenyatta wajiondoa

Mungai Msele

Senior Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
105
Reaction score
28
Katika hali ya kushangaza,Baadhi ya Mashahidi(Witnes) walioshuhudia Umwagikaji wa Damu mnamo (2007/2008 wameanza kujiondoa katika kesi iliyowasilishwa The hague iliyoko Uholanzi, Kesi hio inayofuatiliwa kwa ukaribu zaidi na nchi za Afrka, imekua gumzo pande nyingi barani Africa, Kesi hii pengine imekua na sura ya kipekee kwa kuwa ni Viongozi wa kwanza kufikishwa ktk Mahakama hio wakiwa Madarakani, Mashahidi waliojiondoa hawakutoa sababu za kujitoa kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…