kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,239
Pinda
Pinda mtoto wa mpanda,
Kauli zako tumesanda,
Wataka kututia sanda,
Uongozi umekushinda,
Kalamu nainyanyua, ushenzi we u bayani
Ndugu unaroho mbaya, kukueleza si ubaya
Tutakueleza bayana, nguvu ya uma uiwezi
Bora urudi kijijini, mjini upawezi
Asili yako mkulima, siasa unabaka
Powertira, na sekenke shambani ujibebe
Panga lako mkononi, basi upigane na ardi
Siasa tuachie, nguvu ya uma uiwezi
Siasa siyo hisia, makonyazi kuyaonyesha
Piga piga za kishenzi, kwako hilo atutakuenzi
Polisi na yao makonzi, tumevumilia kishenzi
Pinda jipindue, serikali tuachie
Chadema ni taasisi, iheshimu tafadhali
Usiende kama fisi, damu zetu kujitwalia
Utatumia polisi, nguvu ya uma itazidi
Pinda jipindue, serikali tuachie
Pinda mtoto wa mpanda,
Kauli zako tumesanda,
Wataka kututia sanda,
Uongozi umekushinda,
Kalamu nainyanyua, ushenzi we u bayani
Ndugu unaroho mbaya, kukueleza si ubaya
Tutakueleza bayana, nguvu ya uma uiwezi
Bora urudi kijijini, mjini upawezi
Asili yako mkulima, siasa unabaka
Powertira, na sekenke shambani ujibebe
Panga lako mkononi, basi upigane na ardi
Siasa tuachie, nguvu ya uma uiwezi
Siasa siyo hisia, makonyazi kuyaonyesha
Piga piga za kishenzi, kwako hilo atutakuenzi
Polisi na yao makonzi, tumevumilia kishenzi
Pinda jipindue, serikali tuachie
Chadema ni taasisi, iheshimu tafadhali
Usiende kama fisi, damu zetu kujitwalia
Utatumia polisi, nguvu ya uma itazidi
Pinda jipindue, serikali tuachie