Kama tunatakiwa kufanya mapenzi baada ya ndoa, kwa nini tunabalehe kabla ya ndoa?
nipe mistari Askofu
Sikilizeni furaha yangu, Mungu ni pendo anipenda..Mungu ni pendo, apenda watu, Mungu ni pendo, anipenda....
Endelea...
duh kumbe watu mnakuwaga makini church mie kila nikiingia church nasinzia sijui mapepoSikilizeni furaha yangu, Mungu ni pendo anipenda..
1.Akaja Yesu kunikomboa , yeye kanipa kuwa huru
......sikilizeni.....
2.Sababu hiyo, namtumikia, namsifu yeye siku zote
...sikilizeni
Sikilizeni furaha yangu, Mungu ni pendo anipenda..
1.Akaja Yesu kunikomboa , yeye kanipa kuwa huru
......sikilizeni.....
2.Sababu hiyo, namtumikia, namsifu yeye siku zote
...sikilizeni
Sikilizeni furaha yangu, Mungu ni pendo anipenda..
1.Akaja Yesu kunikomboa , yeye kanipa kuwa huru
......sikilizeni.....
2.Sababu hiyo, namtumikia, namsifu yeye siku zote
...sikilizeni
penzi langu kumpa yule SophieMimi naupenda huu uliotunga na Shaaban Robert mwaka 1957 na kuimbwa na DDC Mimani Park mwaka 1981
mtu chake apendacho
hakina hila moyoni
huridhika kuwa nacho
japo hakina thamani
mapenzi hayana kificho
yaingiapo moyoni mwangu
mwenye mapenzi haoni
ingawa macho anayo!
Mungu ni pendo, apenda watu, Mungu ni pendo, anipenda....
Endelea...
duh kumbe watu mnakuwaga makini church mie kila nikiingia church nasinzia sijui mapepo
Cheusi mwenyewe huyu hapa.....banned
Mimi naupenda huu:
......Penzi letu na Naomi ni fundisho maradufu kwa wale wapendanao, wasihadaiwe,
Nanyi mliko wazuri msikose msimamo, msijivunie uzuri na kuharibu tabia,
Hakuna (Nani) atakayekubali mapenzi ya kuchangia??
Ulipigwa na kuimbwa na DDC Mlimani Park, kwenye miaka ya mwanzoni mwa '90. Kama kuna anayekumbuka mashairi yake ayaweke hapa!