Sikilizeni furaha yangu, Mungu ni pendo anipenda..
1.Akaja Yesu kunikomboa , yeye kanipa kuwa huru
......sikilizeni.....
2.Sababu hiyo, namtumikia, namsifu yeye siku zote
...sikilizeni
usingizi itakuwa noma yaani sijui ni mapepo gani yananisumbua nikiingia tu church hazipiti dk 5 naanza kusinzia halafu Padre akisema "nendeni kwa amani" pale mwisho wa ibada usingizi unakatika ghafla nakuwa active sijui ni nini hikihha na juzi umesema ni mhudhuriaji mzuri wa church, ucpotokea kutatokea hitlafu kwenye misa, sasa kumbe ni mapambo tu...lol, ukitoka hapo ukiulizwa injili ilisemaje unakodoa macho huna ujualo....c uwe unachapa ucngizi tu!
dear kumbe na wewe wa-longoooo naamini ..methali za wahenga dunia hii vyote vinagawanyika
gari na shamba vyote vinaganyika aaah aaaah sio
penzi jamani utafanya kila njia pande moja litazidi
Ooh mme wangu ulinitaka radhi
wataka oa mke mwingine wa pili uwezo huo wa kututunza unao aaah
haaa matokeo ya penzi umezidi elemea kwa mke mwenzangu eeh
Jamani Sikonge, BAK , Balatanda wako wapi mambo yao haya
watu wa zamani walikuwa wanajua kubembelezaNakupenda sanaaa kweli, si kwa uzuri tu ulionao, hata tabis zako kwa kweli ni za kuridhisha,
Hadija aa Ewe Hadija, wa moyo, asante sana nasema kwa tabia zakooo!
Chorus:
Tabia zako mama ni za kuridhisha, nikikukosa nitampata wapi mwingine,
Nakuomba mama kaa utuliex2
dear kumbe na wewe wa-long
FD me naburudika na nyimbo za zamani hizi za kufoka foka naona zimenipita kushoto