mashairi ya mwanakijiji yako wapi??

mashairi ya mwanakijiji yako wapi??

BrantCawen

Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
25
Reaction score
2
mi ni mmoja wa watu ambao unaweza kuwaita big fans wa mwanakiji kwa upande wa mashairi,tatizo ni kwamba sijui ni wapi naweza kupata collection nzima ya mashairi ya mwanakijiji,kitabu hivi au blog au chochote kile chenye kuhifadhi mashairi yake,
kuna baadhi ya mashairi niliyasoma wakati ule wa jamboforum siyaoni na nayatafuta bila mafanikio,so mwanakijiji kama unaweza kunisaidia
ningependa niwe na collection ya mashairi yako,kuna mashairi kama matatu ya zamani sijui nitayaona wapi??????__________________________
mother of the bride dresses
discount wedding dresses
Custom wedding gown
 
Back
Top Bottom