The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
mi ni mmoja wa watu ambao unaweza kuwaita big fans wa mwanakiji kwa upande wa mashairi,tatizo ni kwamba sijui ni wapi naweza kupata collection nzima ya mashairi ya mwanakijiji,kitabu hivi au blog au chochote kile chenye kuhifadhi mashairi yake,
kuna baadhi ya mashairi niliyasoma wakati ule wa jamboforum siyaoni na nayatafuta bila mafanikio,so mwanakijiji kama unaweza kunisaidia
ningependa niwe na collection ya mashairi yako,kuna mashairi kama matatu ya zamani sijui nitayaona wapi??????