mi ni mmoja wa watu ambao unaweza kuwaita big fans wa mwanakiji kwa upande wa mashairi,tatizo ni kwamba sijui ni wapi naweza kupata collection nzima ya mashairi ya mwanakijiji,kitabu hivi au blog au chochote kile chenye kuhifadhi mashairi yake,
kuna baadhi ya mashairi niliyasoma wakati ule wa jamboforum siyaoni na nayatafuta bila mafanikio,so mwanakijiji kama unaweza kunisaidia
ningependa niwe na collection ya mashairi yako,kuna mashairi kama matatu ya zamani sijui nitayaona wapi??????

asante kwa kuulizia; niko katika kuandaa vitabu na kimojawapo ni hicho cha "diwani ya mwanakijiji".. subira ndugu yangu.
Mwanakijiji bana......kwa hiyo ulikuwa unaonjesha sasa unataka uuze?
asante kwa kuulizia; niko katika kuandaa vitabu na kimojawapo ni hicho cha "diwani ya mwanakijiji".. subira ndugu yangu.
__________________