Mashaka: Nahisi Mpenzi wangu kajiunga JF

Anza kum PM..
Ongea naye tu mambo ya kawaida
Kama niye utajua tu...
 
just acha kama ilivyo so long Uhusiano hauharibiwi kwa yeye ( mkeo) kuwa jf
 
Kwani wewe mwizi? na kwa nini asijiunge humu JF maana is free na is where people talk waziiiiiiiiiii.....Hata ****** mbona yupo humu ingawa magamba wanaisema sana JF.....Wakaribishe kibao tu....mie wife yumo,dada zangu wamo,kaka zangu wamo marafiki wangu wamo mfano Afrodenzi,Aspirin babu, Babu ataka kusema, Krolokwini ni wengi tuuuuuuuuuuuuuuu....
 
Shukuru Mungu sie twampa ushauri wa kujenga mahusiano yenu! Angejiunga na facebook au G5-Click wangemtongoza!
 
Ameshampata huyo mpenzi wake anaitwa Lady who! Ana thread moja ya Fisadi wa mapenzi naona wameshaanza kumaliza tofauti zao huko.
 
Acha kutuzingua sema thread unayohis inakupa tabu. kama unaona aibu nenda chemba ya KAIZER mwambie ili akupe ushauri wa kikomputa zaidi. hahahaha Kaizer kaka usikarike juzi umenifanya kucheka usiku mzima.
 
Ndg yangu utajipa pressure bure, we tulia! Ila inaonekana haum-treat fairly ndo maana unakuwa na wasiwasi yeye kujiunga na JF kwani unajua ataelemishwa.
 
Shukuru Mungu sie twampa ushauri wa kujenga mahusiano yenu! Angejiunga na facebook au G5-Click wangemtongoza!
Ningekufa kwa Pressure hakika,ila kuna siku nimeona Speaker kama anamtongoza vile
 
so far inaoneka huo uhusiano haupo strong

badala ya kusumbuka na kama yupo jf au hayupo..
ungeaanza na kuuufanya huo uhusiano uwe strong vya kutosha
Ndo maana yake hivyo
 
wewe mpe tigo halafu mwambie huo ni ushauri nimeupata kutoka Jf, halafu mwangalie machoni
 


Una amanisha huyu alieanzisha hii sredi?
[h=3]Kutumia kondom ni njia mojawapo ya kutokuwa na upendo wa dhati?[/h]
 
sasa kutongozwa ni dhambi, ukiona mkeo anatongozwa jua ana mvuto wa kutosha bana

I see wewe una jina hilo na hujakula BAN mpaka umefikisha post mianne! kweli JF ina wenyewe na wenyewe ndio nyie
 
Ningekufa kwa Pressure hakika,ila kuna siku nimeona Speaker kama anamtongoza vile
Speake ile Avatar yake inakonyeza nadhani shemeji kadata nae teh! Kaka komaa nae, mpe ujauzito then muunge urafiki na lizzy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…