kitiheka Ngomanzito
New Member
- Dec 16, 2011
- 1
- 0
nina wasiwasi na elimu ya Tanzania, naimeshindwa kujua kabisa hivi elimu yetu inapanda au inashuka?, Matokeo yote yana utata mtupu au ndo wanajaribu kuingiza siasa katika taluuma na kama iko hivi basi nchi yetu tunaipeleka pabaya.