mashaka!!!

kitiheka Ngomanzito

New Member
Joined
Dec 16, 2011
Posts
1
Reaction score
0
nina wasiwasi na elimu ya Tanzania, naimeshindwa kujua kabisa hivi elimu yetu inapanda au inashuka?, Matokeo yote yana utata mtupu au ndo wanajaribu kuingiza siasa katika taluuma na kama iko hivi basi nchi yetu tunaipeleka pabaya.
 
Watoto wenyewe ni vilaza. Inabidi serikali iwabebe hivyohivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…