Mashalove ndani ya uhondoni Anafunguka Mengi

Wee acha kabisa, bongo fleva wanabadilishana TU virusi.

Ata sepenga akisalimika sijui[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza kua mzima ila mwamba alimzimikiaga sana Wanjara sanaaa!mpk alitakaga kuwehuka!Mama Lissa ni mvumilivu tu ameolewq kulinda heshima alimtelekezaga enzi yuko juu !!
Ukimuona huyo Wanjara sasa sura yake na Mama Lissa kushoto na kulia!ila prof alikufa na kuoza
 
Ndo ile wanaita Ustaa ni mzigo wa misumari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Salamu ziende kwa Wanjara, Don Masha Kitasa kwenye BUNYERO . Waambie Simba kachalala anataka msambwanda wa buku jero."

Aisee!
 
Usicheze na "Kipira" kaka..yaani sio poa,ngoma ikitoka ina mafuta hakuna tope..halafu mtoto fundi sasa...
 
Usicheze na "Kipira" kaka..yaani sio poa,ngoma ikitoka ina mafuta hakuna tope..halafu mtoto fundi sasa...
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwa ufundi hapo yasemekana ni fundi haswaaa100% yaani balaa na nusu yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…