Mwami Ntilubhazwa
Member
- Dec 19, 2020
- 10
- 25
Weka bei elekezi mkuuKwa anayehitaji Mashamba pori Wilaya ya chalinze na Bagamoyo kwa ajili ya kilimo,ufugaji na ujenzi anichek 0626431257.
(MWAVI,KIWANGWA,TALAWANDA,MSATA,MWETEMO,MASUGURU,NK)
WHATSAPP/CALL:- +255626431257
Kuanzia 800000/= mpaka 3M kwa Ekari.Weka bei elekezi mkuu
Bei kubwa mkuu.Kuanzia 800000/= mpaka 3M kwa Ekari.
Kupata shamba la Namna hiyo ni Ngumu bossBei kubwa mkuu.
Mimi natafuta kuanzia laki tano kushuka ila iwe chalinze kijijini na shamba lianzie mtoni
UTAPELI mahali kokote upo,Chamsingi ni kuhakikisha unafuata taratibu rasmi na salama za manunuzj baada ya kujihakikishia uhalali Mkuu.Utapeli vipi huko?