Mashamba ya kilimo

terabojo

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
215
Reaction score
45
Wana JF, mimi ni mwanakijiji wa Kivinja B. Nina viwinja vya makazi na kuna jirani zangu wengine wana ardhi inayofaa kwa kilimo na hata kuwekeza kufaa mifugo shule na mipango mingine kutegemea na uhitaji na matakwa ya mmiliki. Ni jumla ya eka 40. Pia plot za mita 20X50 zipo na kijiji kimepimwa rasmi. Kwa anayetaka anitumie message au apige 0754 488922 nimuunganishe na wenye ardhi.

Ili ufike Kivinja B lazima uende mpaka Jaribu Mpakani (njia ya kwenda Lindi, kama KM 140 kutoka ktk ya mji) wa Dar es Salaam.

Wasalaam.
 

Mbona hujasema bei?
 


Eka 40 si shamba la mtu mmoja tu? Fafanua vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…