M Mkuu2015 Member Joined Jun 23, 2014 Posts 65 Reaction score 15 Aug 25, 2014 #1 Habari wanajamvi? Naomba kujuzwa juu ya taarifa yoyote kuhusu upatikanaji wa mashamba ya kukodi mkoa wa pwani na kwingineko..mwenye taarifa au namba za simu naomba anijuze tafadhali.. Natanguliza shukran
Habari wanajamvi? Naomba kujuzwa juu ya taarifa yoyote kuhusu upatikanaji wa mashamba ya kukodi mkoa wa pwani na kwingineko..mwenye taarifa au namba za simu naomba anijuze tafadhali.. Natanguliza shukran
Majimoto Senior Member Joined Nov 22, 2007 Posts 138 Reaction score 148 Aug 25, 2014 #2 Yapo yanayouzwa kwa bei poa, kwa kiwango unachotaka
M Mkuu2015 Member Joined Jun 23, 2014 Posts 65 Reaction score 15 Aug 25, 2014 Thread starter #3 Majimoto said: Yapo yanayouzwa kwa bei poa, kwa kiwango unachotaka Click to expand... Naomba contact mkuu..
Majimoto said: Yapo yanayouzwa kwa bei poa, kwa kiwango unachotaka Click to expand... Naomba contact mkuu..