Hiyo bei ya kukodi ni kwa muda gani?Mashamba yanapatikana mkoa wa Pwani unaingilia Kongowe upande wa kusho toka Dar.Umbali toka Morogoro road ni km 10 na 12 kwa sababu yako maeneo tofauti.
Bei kukodi kwa heka iko kati ya 50,000 na 100000 kutegemea na eneo na ukaribu wa vyanzo vya maji.
Bei kununua inaanzia laki 9(900,000) kuendelea kwa heka.
Zipo heka za kutosha karibuni sana.
Mawasiliano:
0626446244
Panafaa kujenga na kuishi?Mashamba yanapatikana mkoa wa Pwani unaingilia Kongowe upande wa kusho toka Dar.Umbali toka Morogoro road ni km 10 na 12 kwa sababu yako maeneo tofauti.
Bei kukodi kwa heka iko kati ya 50,000 na 100000 kutegemea na eneo na ukaribu wa vyanzo vya maji.
Bei kununua inaanzia laki 9(900,000) kuendelea kwa heka.
Zipo heka za kutosha karibuni sana.
Mawasiliano:
0626446244
mkishindwana.uje nikuuzie Mashamba ya kulima na kuishiPanafaa kujenga na kuishi?
Naomba namba yako tuwasiliane tafadharimkishindwana.uje nikuuzie Mashamba ya kulima na kuishi
Noted mkuuWatu wanaishi ila umeme bado umbali kama Km1 hivi
Njoo nikupe eneo ChanikaPanafaa kujenga na kuishi?
Huko chanika unauzaje.?Njoo nikupe eneo Chanika
Millions 4 , 30×35Huko chanika unauzaje.?