Kuna mashamba yanakodishwa Sumbawanga vijijini yanafaa kwa kilimo hasa cha mahindi. Mvua ni za uhakika . Matayarisho ndio yanaanza sasahivi mwezi wa kumi. Garama ni laki moja kwa ekari moja. 071654 8250
Kumbe mashamba sumbawanga yameshafika hiyo bei na sifahamu. Na mm nikodishe hata eka 5 kumbe
Huko ni 40000 hiyo laki 1 ni bei ya mjini