Mashamba yanayofaa kwa kilimo cha mazao mbalimbali kama ufuta, alizeti, mahindi, mtama, uele na viazi vitamu yanapatikana Kiwangwa. Bei ni TZS250,000/= kwa ekari. Unaweza kupata kiasi chochote unachohitaji. Pia unaweza ukapata mashamba yanayofaa kwa kilimo cha nanasi ingawa hayo bei inakuwa juu zaidi. Interested? nipm nikuelekeze
Mimi nina shamba Kiwangwa na Fukayosi...kwa experience yangu na eneo lile....hakuna shamba linalouzwa hekari 1 Tshs 250,000/=!
Watu wengine bana,
Ukiweka tangazo hapa basi kuna mawili,
Aidha muda wako ni wa kuibia sana so unaweka na namba ya simu for prompt communica,
Otherwise unao muda mrefu sana wa kuingia hapa so no needs of phone number.
Sasa namba hamna,Jf huingii, what is this?? Sio poa namna hii. Halafu kutaja tu Kiwengwa kama vile kila mtu anaijua sio fresh. Taja japo mkoa tu ilipo kama wilaya na kata inakua ngumu!!
poa sana
Freema unapapenda Fukayosi? Au ni jirani yangu huko?
Piga 0717 271871
Mimi nina shamba Kiwangwa na Fukayosi...kwa experience yangu na eneo lile....hakuna shamba linalouzwa hekari 1 Tshs 250,000/=!
napapenda I hope one day nitapata kisehemu huko
Riwa,
Fukayosi ndio wapi mazee? na huko mazao gani yanastawi?
Hapo sasa tumeelewana, ubarikiwe sana.
Mahindi yanalima?
Kuna documents gani zinazohalalisha umiliki kama nkinunua.
Otherwise, ngoja nipige hii namba.
Jamani tuwe makini na Fukayosi, kuna watu walishanunua mapori siku nyingi huko,unaweza uziwa pori la Kigogo, Fukayosi imepata umaarufu ghafla,bei za pale Fukayosi zinabadilika sana kila siku,march nilipima shamba la mtu pale Fukayosi shule ya msingi ng`ambo ya pili kama mita mia nne hivi kuingia ndani, bei ilikuwa laki saba. July 5 nilifika tena kwa kazi hiyo hiyo, naambiwa eti ni milioni moja. Nikapima na kuondoka zangu.
Nilimshauri huyu kigogo asogee kijiji cha Mwavi, mbele ya kidogo kama unakwenda Msata.
Kwa nini Watz tunaumizana na hizi bei za ajabu ajabu?
kaka unaonesha wewe mwenyeji sana, naomba contacts basi na mimi nikanunue kijishamba kini keep bize wikiendi