Plot4Sale Mashamba yanauzwa Kibaha Misugusugu

Beah

Senior Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
127
Reaction score
76
Maahamba ktk sehemu maeneo ya Kibaha Misugusugu, bei milioni 7 kwa hekari moja maongezi yapo, Hekari Mia zinapatikana, karibuni wadau PM kwa maelezo zaidi Kama upo na interest
 
Hekari 50 zinapatikana? Au mnataka mteja moja!? VP umeme na maji hapo jirani!?
 
Misugusugu upande UPI ukiwa unatoka DSM. Ni umbali gani toka Morogoro Rd. Hebu weka details za kutosha.
 
Umeme na maji vipo karibu sana vipo karibu na viwanda vya wachina kwa maelezo zaidi njoo PM.
 
Misugusugu upande UPI ukiwa unatoka DSM. Ni umbali gani toka Morogoro Rd. Hebu weka details za kutosha.
Umbali km 3 kutoka morogoro road upande wa kushoto kama ukiwa unaelekea morogoro.
 
Maahamba ktk sehemu maeneo ya Kibaha Misugusugu, bei milioni 7 kwa hekari moja maongezi yapo, Hekari Mia zinapatikana, karibuni wadau PM kwa maelezo zaidi Kama upo na interest
PM naingiaje tuongee??
 
MASHAMBA BADO YAPO WAKUU KARIBUNI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…