Mashamba yanauzwa mbezi ya kimara njia ya kuelekea mbezi beach

FredKavishe

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,090
Reaction score
318
Wakuu mashamba mazuri yako surveyed hatua 20 kwa 25 milion 3.5 tsh
 
Wakuu mashamba mazuri yako surveyed hatua 20 kwa 25 milion 3.5 tsh
Habari yako ni nzuri sana lakini hujaweka kama upo serious hebu niambie mimi nikiwa nahitaji nifanye nini? hujaweka hata mawasiliano
 
Mbezi ya kimara?
Njia ya kuelekea mbezi beach?
Fafanua mkuu?
 
Kama changa la macho vile!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Habari yako ni nzuri sana lakini hujaweka kama upo serious hebu niambie mimi nikiwa nahitaji nifanye nini? hujaweka hata mawasiliano

no yangu ni 0714519880
 
Mbez kimara unaenda mail moja,
mbez beach unaenda bagamoyo.
Ngaz ya gipsum kapanda tembo. kwinkwi.
 
jamani kuweni makini ardhi haiuzwi kama unanunua shati au nguo ubungo. Msije mkakurupuka. Just important tips unapotaka kununua ardhi ambayo imepimwa.
1. Hakikisha anayekuuzia ni mmiliki halala wa kiwanja au shamba

2. Awe anafahamika kwa mwenyekiti, mjumbe na mtendaji kata wa eneo husika kwamba yeye ndie mmiliki halali.

3. Kama ardhi imepimwa awe na hati au title ya hicho kiwanja au shamba

4. Kama hana tafuta land surveyor akusaidie kuangalia km hilo eneo kwenye master plan limepangiwa matumizi gani na km barabara haipiti kwenye kiwanja unachotaka kununua.

5. Kama ana hati au title ya kiwanja chukua title number mara nyingi ipo juu ya hati. Then nenda wizara ya ardhi kufanya title search pale utapata taarifa rasmi za kuthibitisha kama anayekuuzia ni mmliliki halali wa hicho kiwanja au shamba.

So due care and buyer be aware is needed when u r buying land
 
unanipa wasi wasi kuamini kama pamepimwa hapo. Hesabu za vipimo ni miguu sio mita au mnafanya subdivision ya shamba kwa watu wengi.?

pamepimwa mkuu kila kitu kipo.wasiwasi wako tu
 
pasenti yako ya udalali ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…