mleta taarifa wa kwanza wa tukio la Kitima ni mwanachadema mwenzenu aliopo Kenya.....start dot connection(hata kiroho tu)Story kama hizi za kidhalimu ndio fasta mnazifungulia uzi, lakini trust me tofauti na hapa Tanzania ambako mpaka leo waliompiga Lissu risasi wanakula starehe tu. huko Kenya uchunguzi utafanyika kwa kina na wahalifu watakamatwa.
Kula Kibao hicho muruwaa kabisa
View: https://youtu.be/RjYOM3zHBGY?si=gOsQsg4H3DzJALx1
Mbona mlitaka kumteka na kumleta Namanga?!mleta taarifa wa kwanza wa tukio la Kitima ni mwanachadema mwenzenu aliopo Kenya.....start dot connection(hata kiroho tu)
Na Lissu alijipiga risasi.Sema kujiteka
Kibao nimekipenda Kwa kweli bigup CassianStory kama hizi za kidhalimu ndio fasta mnazifungulia uzi, lakini trust me tofauti na hapa Tanzania ambako mpaka leo waliompiga Lissu risasi wanakula starehe tu. huko Kenya uchunguzi utafanyika kwa kina na wahalifu watakamatwa.
Kula Kibao hicho muruwaa kabisa
View: https://youtu.be/RjYOM3zHBGY?si=gOsQsg4H3DzJALx1
Wahi Milembe.niulize na ChaCha Wangwe basi!maana matukio haya hutokea pindi na baada ya chaguzi zenu za mwenyekiti
Angalia mnavyoaibika👇niulize na ChaCha Wangwe basi!maana matukio haya hutokea pindi na baada ya chaguzi zenu za mwenyekiti
Labda umetoroka milembe au hujameza vidonge vyako.unadhani picha na videos za kuungaunga mtakazopeleka ughaibuni zitaiteteresha CCM??
Punguzeni ushamba na mbinu za kizamani