Mashambulio Pacha Kenya na Tanzania Mbunge Charles Were na Padre Charles Kitima

Umeamua uunganishe vitu viwili visivyoendana ili upoze aibu ya policcm kwa shambulio la Kitima.

Kenya walau tunajua haki itapatikana ila kwa Tanzania nina uhakika huyo Rahul ameangushiwa jumba bovu wala hahusiki kwa chochote maana ile barua ya policcm inajidhirisha wazi script yao imefeli.
 
Inategemea na upeo wako wa fikra na exposure yako uliyonayo katika namna ya kuhusianisha mambo.
waache wanaintelligensia na wataalamu wa nyota wafikiri kwa kina.
Sina conclusion lakini ninayo haki ya kuwasilisha kwa minajili ya uwanda mpana wa fikra...na hii ndio maana ya kuwa kwenye jamvi hili.
Kamwe nakushauri usibebwe na kelele za vilaza wa tiktok.
Shukuru Mungu umepata nafasi ya ku-intereact na mitambo ya fikra!
 
Ahahahahaha! Bila shaka umesahau Kenyatta na Ruto walipelekwa hadi The Hague kwa mashtaka ya Uhalifu dhidi ya Binadamu na mwishowe wote wawili wakaishia kuwa Marais! Ahahahahaha!!
 
Inategemea na upeo wako wa fikra na exposure yako uliyonayo katika namna ya kuhusianisha mambo.
waache wanaintelligensia na wataalamu wa nyota wafikiri kwa kina.
Kwahiyo intelijensia ya policcm inasemaje mjinga wao?

Hivi na wewe unajiita great thinker unaamini katika mambo ya nyota na uchawi??
Sina conclusion lakini ninayo haki ya kuwasilisha kwa minajili ya uwanda mpana wa fikra...na hii ndio maana ya kuwa kwenye jamvi hili.
Kamwe nakushauri usibebwe na kelele za vilaza wa tiktok.
Sijaona uwanda mpana hapo katika ulichoandika zaidi ya kutaka kusafisha uchafu wa tukio la Kitima likihusisha policcm ulinganishe na mbunge wa Kenya aliyeuwawa.

Una habari yule mbunge aliwahi kuwa na tuhuma za kuua what if ikawa ni revenge ya ndugu aliyeuwawa kipindi hicho?

Sasa Kitima amemuua nani au nani anarevenge kama sio kauli yake ya juzi kuhusu uchaguzi usio huru?

Punguza kudandia vitu na kulinganisha ilhali havina urari wowote.
Shukuru Mungu umepata nafasi ya ku-intereact na mitambo ya fikra!
Una vituko sana wewe.
 
Ahahahahaha! Bila shaka umesahau Kenyatta na Ruto walipelekwa hadi The Hague kwa mashtaka ya Uhalifu dhidi ya Binadamu na mwishowe wote wawili wakaishia kuwa Marais! Ahahahahaha!!
Walijipeleka wenyewe.
 
mimi nimeleta mada mezani kwa mjadala mpana beyond hivi vituko vya kina Ayo,tiktok,facebook na twitter maana naoma kama tunataka kuzoea hivi kwamba waleta ajenda na weledi wa mijadala wamehamia huko.
kuhusu nyota na uchawi najua kuna mwanachadema mwenzenu humu ambaye ametamalaki kwa muda flani hivi sisi majiniazi tukimpotezea anaitwa Mshana Jr ndio mnamuamini eti anajua uchawi ,utabiri na nyota sasa aje hapa kujibia hoja konki za wanaJF ambao ni legends humu jamvini.
mtag mwambie mwamba jingalao yupo around
 
Uandishi mbovu sana!

Jifunze kuweka aya.
 
Jingalao una maana hayo ni mashambulizi ya magaidi? Don't link the dots which has no any correlation. Nyumbu wanatengeneza movie za kipumbavu, Kitima alilewa na kukorofishana na mtu wake amepigwa serikali inahusika nini. Siasa za kishamba hizo, mmekimbia uchaguzi sasa mnatafuta shortcut? That has never been easy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…