Jackson94
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 492
- 560
Maelezo ya video,Tazama: Mashambulizi ya anga karibu na uwanja wa ndege wa Beirut
Israel imefanya mashambulizi zaidi ya anga huko Beirut na Lebanon usiku kucha, yakilenga matawi ya benki ya AQAH.
Shirika la habari la serikali ya Lebanon NNA liliripoti shambulizi kwenye tawi la benki hiyo karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Rafic Hariri mjini Beirut.

Hadi shambulizi lilipotokea mwendo wa saa 23:45 kwa saa za eneo, uwanja wa ndege ulikuwa ukifanya kazi kama kawaida.
Ndege kutoka Dubai, iliyopaswa kutua saa 23:59, ilichelewa kuwasili kwa dakika 17.