Siku ya leo haiishi lazima breaking news kubwa
Kwa hiyo unataka kusema Israel ameshaanza kuyumba kiuchumi kiasi akaenda kupiga bank ili kupora apate za kuendeshea vita?Maelezo ya video,Tazama: Mashambulizi ya anga karibu na uwanja wa ndege wa Beirut
Israel imefanya mashambulizi zaidi ya anga huko Beirut na Lebanon usiku kucha, yakilenga matawi ya benki ya AQAH.
S
Kumeleta ahueni zaidi kwa Magaidi ya Kiislam. Yanazidi kufanikiwaKwa hiyo kufa Nasrallah, Hanniyeh, au Sinwar hakujaleta ahueni yoyote Kwa msayuni?
Kumeleta ahueni zaidi kwa Magaidi ya Kiislam. Yanazidi kufanikiwa
Hapo sasaKwa hiyo unataka kusema Israel ameshaanza kuyumba kiuchumi kiasi akaenda kupiga bank ili kupora apate za kuendeshea vita?
Kwanini matawi ya bank,hiyo bank nani mmiliki wake?inamilikiwa na magaidi au pesa za kufadhili ugaidi zinapitishwa humo?maswali ni mengi sana.