Dunia ina sehemu na majina yake sawa? Sasa niambie Magharibi pa Dunia kunaitwaje? Na mashariki panaitwaje. Halafu acha habari za nyuzi 360 mleta mada alikua anataka kujua Km na muda utakaoutumia.

Angalia post yangu namba 15 kuna jibu la point yako ya umbali - inategemea na mtu alipo hivyo umbali ni kati ya 0.000001km na 10,000km. Suala la muda inategemia na usafiri unaotumia na speed yake, lakini ili sio swali la mleta mada.