masharobaro na masister du!!!!!

kazuramimba

Senior Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
126
Reaction score
57
kwa kautafiti kangu nimebaini watu ambao wanaongoza kwa kupendwa na baadhi ya wanawake ni wakongo na baadhi ya wanawake hudai jamaa wanajituma sana ndani ya kuta nne! Lakini pia wanaofuatia kwa kupendwa ni masharobaro bt hawa kwa mujibu wa maoni niliyopata huwa hawajui chochote si lolote.Yes or No huwakibao badala ya kutandaza kandanda safi,Wengine ni ma sister do! Hawa hata ukimwalika mmoja kwa lunch atakuja na wenzie kibao na kuagiza mara chipsi na kuku mzima pamoja na hainken na vitukibao! Lol! Nao ndani ya kuta nne hawajui chochote huwa ni magogo kabisaa! But chakushangaza nao ndo hupendwa sana na baadhi ya wanaume so ninachojiuliza hawa wanapendewa nini!
 
Mwonekano wa njee. Sex si vita au ugonvi bali mindset na attractiveness ya mvutiwa. Hiyo ndo natural sex ambayo ni tamu.
 
Masharobaro si ndio masister du!

Ni sawa kusema Female and Women.
 
sidhani km muonekano wa nje unaweza kuwa na uhusiano na utendaji kazi wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…