Masharobaro/ Wabana pua waalikwa Marekani na USHER RAYMOND

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,005
Reaction score
20,425
Habari zilizonidondokea mida hii zinasema, WASITI, LINAH, AMINI, BARNABA, DITTO & B12 kwenda marekani kesho kwa mwaliko toka kwa mwimbaji USHER RAYMOND.Source Mimi mwenyewe!!
 
Asante sana Mkuu hiyo source haina shaka, naona B12 ataosha nyota maana yeye anapenda sana kujifanya Mmarekani sipati picha akirudi.
 
sipati picha men!itakuwaje men!bonge la shavu men!full kuosha nyota men!haina kwere men!mzeiyaaa!
 
Mhh! Inaweza kuwa nafasi kwa Amini Kurejesha uhusiano wake na mamaaa Linah.
 
sipati picha men!itakuwaje men!bonge la shavu men!full kuosha nyota men!haina kwere men!mzeiyaaa!
Tehee!tehee! Dah hiki ndo kizazi cha mkweree! Rais sharobaro wananchi sharouharo kaaazi kwelikweli!!
 
Back
Top Bottom