Mashart ya Mganga yananitesa, sitosahau siku 5 nilizopanda fisi

Psiteshio72

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
634
Reaction score
442
sitosahau nilipokaa siku 3 bila kula nyama, nilihisi kuugua na kupelekwa hospitali, kabla hatujafika hospital niliingia KIOSK nikala kilo papohapo nikakaa sawa, sa hiv mimi ni mzima wa afya, lakin nikakumbuka mganga aliniambia nisile nyama lasivyo UTAJIRI wangu wote utapoteaaaaaa,,,, nilijihis kutapika lakin nilishindwa ikikuwa yapata sa 5 usiku nikiwa chumbani kwangu wakati huo mke wangu alikuwa amelal chumbani kwake hi ikiwa ni shart lingine nililopewa na mganga yule, basi yapata majira ya sa 5 usiku nikijilaum kwa kula nyama mara gafla nilisikia mlango ukigongwa nikauendea kufungua huku nikizani ni mke wangu amekuja akihitaji anipe PAPUCHI mara nikaufungua mlango ,gafla niliona panya mdogo baada ya kumtazama alikuwa na sura ya Mtu.................hapo ndipo ilipoishia wiki iliyopita......
Replies 100 niendelee hapahp ya wiki hi....
 
Inayofuatia unaweza ukatuambia kwamba mganga alikuomba tigo namba ili akutumie dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…