Mzalendo80
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,509
- 1,340
Wana JF kuna sheria moja ya kipumbavu hapa Tanzania inanikera , Sheria ya kumdhamini mtu aliyekamatwa na kupelekwa Mahakamani. Hii Sheria ya kusema mzamini awasilishe hati ya mali isiyohamishika inanikera sana, hata kwa makosa ya kijinga uzamini unakuwa mgumu. Kwa nini sheria hiyo isutumike kwenye kummuekea dhamana Mgeni (Foreigner) ambaye sio Mtanzania? Je kuna haja gani ya kuweka ya kummuekea masharti magumu mzawa wa nchii hii katika kupata dhamana? wakati hata kama akikimbia lazima atarudi nyumbani, kuliko mgeni akikimbia harudi tena. Katiba mpya ni muhimu kwetu ili tuweze kurekebisha hizo sheria za kipumbavu na za kijinga kama hii. I am tired and sick of CCM constitution, we want our own constitution now its time to stand and fight for our right.