Hizi ndo njia zinazozuia migomo katika shule za viwanja, maake kila mtu hubeba mzigo wake mwenyewe. Kuna wanaolipiwa na serikali 100%+ na wengine wanakuwa aproved kiasi kidogo sana kiasi cha kwamba inabidi uangalie mikopo kwa mabanks Na wengine 0%. Na ukishindwa kulipa wanakutoa baruti hapo hapo. Hii njia inafaa sana kukwepesha migogoro isiyo na lazima, DSM inapashwa kuweka mikakati kwamba hiyo percentage mwanafunzi anayopashwa kuchangia inafika shule kabla ya mwanafunzi huyo hajatia mguu pale mlimani na kwingineko!