Masharubaro!

Masharubaro!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Siku hizi nasikia hili neno masharobaro ...hivi maana yake nini
 
masharobaro ni mabrazamen,wasafi wanapozi wanapenda madem wazuri wanajipodoa na raisi wao anaitwa BoB Junior anaown Sharobaro Records...na kinyume chake kuna masharouharoo hao kiongozi wao ni yusuph Mlela Yule actor wa kibongo.
Source:Hemed (Actor wa kibongo na contestant wa Tusker project Fame)
 
Lolz..Nakubali nimepitwa na wakati!:rain:
Na hao wa kinyume una maana gani?..elezea wao wana features gani?
 
Nadhani sisi wa umri mkubwa tutatetwa kwa urahisi na hii misemo inayozuliwa na vijana kila kukicha.
 
masharobaro ni mabrazamen,wasafi wanapozi wanapenda madem wazuri wanajipodoa na raisi wao anaitwa BoB Junior anaown Sharobaro Records...na kinyume chake kuna masharouharoo hao kiongozi wao ni yusuph Mlela Yule actor wa kibongo.
Source:Hemed (Actor wa kibongo na contestant wa Tusker project Fame)

mwanaume anajipodoa na anaona fahari kuitwa sharobaro,kazi kweykwey
 
masharobaro ni mabrazamen,wasafi wanapozi wanapenda madem wazuri wanajipodoa na raisi wao anaitwa BoB Junior anaown Sharobaro Records...na kinyume chake kuna masharouharoo hao kiongozi wao ni yusuph Mlela Yule actor wa kibongo.
Source:Hemed (Actor wa kibongo na contestant wa Tusker project Fame)
mashabaro ni wale wanaofanywa kinyume na maumbile....
 
Ahsanteni kwa ufafanuzi wa usharaboro ! sasa naomba kuuliza juzi jumapili nilmwona Wazir Membe kwenye kipindi cha matukio akiwa amevaa cheni kubwa kama kamba ya kufungia mbuzi kwetu Kinampanda,sasa najiuliza! hv nao ni ushalobaro!
 
unamshangaa Membe,tushawahi kuwa na Rais Sharobaro kama si sharouharo:rain:
 
Jamani hili jina lilianzia wapi? au lilianzishwaje? kwa mfano Dar es Salaam inatokana na Bandari ya Salama. sasa hili la Sharobaro chimbuko lake ni nini hasa! au limetokana na kabila gani, kwani liko kwenye kamusi?
 
Dully Sykes ndiye aliyeibua jina jina hili kwenye tasnia ya bongo fleva. Maana yake kiundani atakuwa anajua yeye.
 
Back
Top Bottom