Kwame Nkrumah
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 886
- 376
Wadau nafikiri baadhi yenu leo mmesikiliza press conference ya Obama,kuna issue moja najaribu kulinganisha na rais wetu. Alipoulizwa swali kuhusu Stem Cell Research alijibu kwamba," angalia, hili si jambo jepesi, ni MAAMUZI MAGUMU TU ndiyo yanaingia ofisini kwangu, na inabidi nitafute ufumbuzi wake" - [ tafsiri isiyo rasmi]-
Hebu sasa tuaangalie maamuzi ya Mkulu
- Aamuru watu waruhusiwe kupunga upepo beach.
- Aamuru polisi wakamate wauaji wa albino [ IGP yupo, Mkuu wa mkoa yupo, mkuu wa wilaya yupo n.k ]
- Aamuru makarani wa TISCAN wasipokee rushwa.
- Asikitishwa na wizi wa mafuta ya transfoma.
Mahoteli ya mabilioni ya shilingi yameungua Bagamoyo, tutasikia ameamuru Gari la zimamoto linunuliwe haraka sana huko Bagomoyo !!
Hivi ni viongozi wanamdharau mkuu wa nchi au ni yeye amekosa kazi ya kufanya ? Ni kweli haya ni maamuzi ambayo yameshindikana ngazi za chini? Semina za Ngurdoto zilisaidia nini?