Wadau walio wataalamu wa kupika mashed potatoes naombeni mtuwekee mahitaji yake hapa na jinsi ya kupika chakula hicho.Natanguliza shukrani zangu za dhati maana napenda sana hicho chakula ila nikipika mimi nahisi kama nakabwa.Lizzy na wengineo wengi wenye maujuzi pliiiiiz okoeni jahazi.
BADILI TABIA mie mwenyewe nasubiria kudesa hapa lol
Kupika viazi ya kuponda
Hatua: Menya viazi vyako, kisha vioshe na kuviweka jikoni. Ongeza maji safi, na katakata kitunguu maji na uweke ndani ya viazi. Ongeza chumvi kidogo na pilipili manga kidogo kupata ladha flani tamu. Hakikisha kuvigeuza ili viweze kuiva kwa urahisi. Vikishaiva, epua sufuria na mwaga maji, kisha chukua mwiko na kuanza kuviponda. Ongeza maziwa, siagi a.k.a blueband na butter kisha endelea kuviponda. Endelea kuongeza maziwa, siagi na butter mpaka utakapoona viazi vimelainika vya kutosha. Tayarisha mash potatoes yako kwa kuliwa
Dedix to BADILI TABIA
asante Young Master, naweza kuweka vionjo kidogo? Spice kama vitunguu swaumu na majani ya korianda ?
sweetlady umeona desa hili?