Masheikh 4 na wanafunzi 95 wakamatwa kwa ugaidi

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Viongozi 4 wa dini ya kiislamu pamoja na wanafunzi wao 95 wameshikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuhusika na vitendo vya Ugaidi Mjini Nairobi nchini Kenya..

Imeelezwa kuwa watu hao wamekamatwa kupitia operesheni maalum ambayo imekuwa ikiwasaka wahalifu wanaotumia kivuli cha dini kupanga uovu

Viongozi mbalimbali wa dini hiyo wamekemea kitendo cha kukamatwa kwa viongozi hao ambao ni walimu wa madrasa na wanafunzi wao na kuhoji, Je kufundisha dini/quran imekuwa hatia?

 
Hapo ndani kuna watoto ambao si wakenya afu hawana hata vibali vya kuwa Kenya. Waache kujificha nyuma ya Quran, kesi ya child trafficking inwahusu. U-18 ambao guardian waloandamana nao kuja Kenya hawapo? Mbona kuna kauvundo flani hapo.
 
Kha! Subiri waje.....
Lakini kwa kweli kama kuna watoto wa nchi za nje na hawana vibali, hiyo ni wazi kuna walakini, hii ichunguzwe bila kuingiliwa.
Huyo sheikh tayari ameanza kuuliza kama ni kosa kufundisha koran, kwani mbona madrassa mengine hawajakamatwa iwe hiyo moja tu, yeye aliambiwa wamekamatwa kisa wanafundisha koran? Tayari ameanza kuingiza siasa za kuleta hisia za kidini.
Dola ifanye kazi yake bila kuingiliwa, lakini na serikali isidhulumu, watende haki.
 
Amesema wasipo achiwa wao watachukua hatua, Aisee
 
huyo shekh anaeongea sindo alimchoma shekh Rogo hadi wakamuua, sasa kibao kimegeuka
 
Unawafahamu vizuri Anti Terrorism Police Unit, yaani ATPU wanao'operate' kule Pwani? Hapo kuna Shekhe atakabwa mapum$u hadi atoe chozi kwenye jicho moja tu huku anapuliza mdomoni ni kama anachapilia mihogo moto. 🙂
 
ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya waislamu ni magaidi ama wanaamini ugaidi.....how comes 100% of terrorists come from majority Islamic nations like Nigeria, egypt, Somalia, Pakistan, Afghanistan, Iraq etc? serikali isidhubutu kuwaachilia hawa wakora...hao na shetani hamna tofauti...kutumia dini kutekeleza ugaidi ni jambo la kusikitisha sana
 
Mkuu,hao ni magaidi walikuwa wanazalishwa hapo,muwe makini sana,hii dini ya kiislamu,taabu sana.
 
Chuki yako dhidi ya uislamu haipimiki...
Unathubutu kusema 100% ya magaidi hutokana na makundi ya kiislamu?? Kwa akili iliyosalimika kabisa unaamini ulichokiandika??

Kwa upande mwingine Khawaarij popote mlipo mmeharibu kabisa kabisa sura ya Uislam, oneni sasa mnavoutukanisha Uislam kutokana na upumbavu wenu...
 
Mkuu,hao ni magaidi walikuwa wanazalishwa hapo,muwe makini sana,hii dini ya kiislamu,taabu sana.
Tatizo si dini ya Kiislamu mkuu, najua ni ngumu kunielewa ila tatizo si uislamu... Uislamu uko dhidi ya Ugaidi
 
Tatizo si dini ya Kiislamu mkuu, najua ni ngumu kunielewa ila tatizo si uislamu... Uislamu uko dhidi ya Ugaidi
But you call people'kafir' Y.prove that Islam is not terrorism cult
 
Usijataje wadhifa au nafasi ya mtuhumiwa! Hawa ni watuhumiwa sawa na watuhumiwa wengine tu! Haijalishi kama ni mashehe au maaskofu!
Kwanini unasema "au maaskofu" wakati hao ni Mashekhe?

Maaskofu wanaingiaje hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…