Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
kwanini tunaandamana ?Kwani nyie mnapotishia kuharibu mali na kuiba kwenye maandamano uchwara mmechukuliwa hatua gani?
Kwani Maaskofu wa TEC waliokuwa wanawasifia majambazi yaliyoiba mali za watu na kuchoma miundombinu za umma wamefanywaje??Mashekhe ubwabwa waliotoa kauli za kutaka kuchinja waandamanaji wamechukuliwa hatua gani ?
Hakuna uwajibikaji tukutane tarehe #D9 tutawawajibisha wenyewe
Mnaenda kaburini.kwanini tunaandamana ?
walisema chanzo ni nini ?Kwani Maaskofu wa TEC waliokuwa wamawasifia majambazi yaliyoiba mali za watu na kuchoma miundombinu za umma wamefanywaje??
ndio akili zako zilipoishiaMnaenda kaburini.
Kawaulize unaniuliza mimi tena mkuu?walisema chanzo ni nini ?
Wewe sindio umeleta habari zao kwenye uzi wa mashekhe kutaka kuchinja raia ?Kawaulize unaniuliza mimi tena mkuu?
Wewe sindio umeleta habari zao kwenye uzi wa mashekhe kutaka kuchinja raia ?
Nilichoandika hapo juu hukuekewa? Nilisema waliwasifia eti ni haki yao kuandamana na kuiba na kuchoma mali za watu na za umma.Wewe sindio umeleta habari zao kwenye uzi wa mashekhe kutaka kuchinja raia ?
Inaonekana unajua kinacho endelea Sababu ni nini hasa walisema ?Nilichoandika hapo juu hukuekewa? Nilisema waliwasifia eti ni haki yao kuandamana na kuiba na kuchoma mali za watu na za umma.
Inaonekana unajua kinacho endelea Sababu ni nini hasa walisema ?
Kwani hukusoma Tamko lao? Tafuta limu humu JF.Inaonekana unajua kinacho endelea Sababu ni nini hasa walisema ?
Nimekuuliza wewe ulieleta hizi mada kwenye huu uzi au hujui ?Kwani hukusoma Tamko lao? Tafuta limu humu JF.
SijuiNimekuuliza wewe ulieleta hizi mada kwenye huu uzi au hujui ?
SijuiNimekuuliza wewe ulieleta hizi mada kwenye huu uzi au hujui ?
Usiwe unaongea vitu ambavyo huvijui utaonekana mpumbavu sawaSijui
Sijui
Mpumbavu ni wewe na mama yako aliyekuzaa. Shithole!!Usiwe unaongea vitu ambavyo huvijui utaonekana mpumbavu sawa
Sijasema wewe ni mpumbavu ila ukiwa unaongea vitu usivyo vijua unakuwa mpumbavuMpumbavu ni wewe na mama yako aliyekuzaa. Shithole!!
Hawa waliotoa kauli hizi hao ni wapumbavu kama wapumbavu wengine, Islamic tz ipo na wala haikuanza leo, ni watu wazuri tu ila wachache may be kwa kutumika ,ndo wanachafua wenzao katika imani hii.Mashekhe ubwabwa waliotoa kauli za kutaka kuchinja waandamanaji wamechukuliwa hatua gani ?
Hakuna uwajibikaji tukutane tarehe #D9 tutawawajibisha wenyewe