MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Loh chauro yaani nimejikuta tu ninajiuliza ama sivyo nahisi mapenzi ya siku hizi yako more westerned hahahah yaani mambo ya nuclear family mpaka kwenye mashemeji hahaha mashemeji zangu ni wale unaozaliwa nao tumbo moja mke wangu siwatambui sijui makaka zakeo upande wa baba waloshare shangazi aloolewa na rafiki yake baba hahMJ1.... mara nyingi huwa na tabia ya kumjudge mtu kupitia watu alionae karibu sasa kama hao mashemej hawaeleweki wasiwasi lazima
MJ1.... mara nyingi huwa na tabia ya kumjudge mtu kupitia watu alionae karibu sasa kama hao mashemej hawaeleweki wasiwasi lazima