Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

Nikushukuru sana kwa uhauri wako mzuri,kwakua nafsi yangu nimeamua kutulia,naamini ntafanikiwa kwani sikushawishiwa ni maamuzi yangu.
Mimi huwashangaa watu kuhangaika kutafuta wasichana wakati mimi nahangaikia kuwakwepa! Nimepokea ushauri wako
 
Nilikua nawakamua mashemeji enzi hizo sijaamua kuoa,sasa nimeamua kumuoa huyu alafu nimkanue dada yake na mdogo wake! Kuna kunogewa,penzi jaljifichi! Nakufa kiume

mke wa bosi wa kihindi vp? hukamui ndugu zake?
 
Wewe ni lazima utakuwa una matatizo makubwa sana. Ni hivi juzi kati tu ulikuja na post hapa ukidai kwamba Bosi wako mu asia anaandaa mazingira ili ummege wife wake. Baada ya watu kukupiga mkwara kwamba hilo ni kafara, umeibuka tena na huu upuuzi wa kuwindwa na mashemeji zako. Nakushauri uwahi kwa mshauri kabla mambo hayajaharibika zaidi mkuu. Haiwezekani kila mtu akuwinde wewe!
 
Na hicho kibamia pia kimemkamua mama wa kihindi ambaye ni mke wa boss wako...shughuli.
 
we kweli WHO CARES doooo!
 
we unauhakika gan wanakupendea kibamia hicho?au watembea uchi/uliwaonyesha/uliwafanya/au unajisifu so wanataka kuhakiki?
 
Ilikua mke wa boss sa iv mashemeji! Mh unajiachia sana to the extent unawafanya wakuzoee kupita kiac na hivyo wanajikuta wamevutiwa kimapenzi! SOLUTION: ukaribu na shemeji zako uwe na mipaka bana!
 


haya mambo nakumbuka kuna mtu alikuja humu kutoka UDOM nakujisifia mimi handsome mara vile mara hivi..
nawe sasa nahisi ndo yuleyule wa UDOM

jaribu kuwa great thinker sio kupost upuuzi humu, peleka facebook u-turn huko ndo kuna vichwa vilaza kama chako
 

Matatizo ndi haya ya kutakwa hovyo! Hiloo balaa la kwa mhindi tena ndo nalina baya zaidi kwangu! Hapo ni kibarua ndo bado kinaniweka vinginevyo sio kwa kupenda kutoka moyoni!
 
Ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi,unaweza kua na dushelele kubwa lkn ukashindwa kulitumia au ukampata manzi mwenye mshine ndogo! Inawezekana manzi unaowapata wana mashine ndogo si inawafit vizuri.
 
TheOne,Sijawahia kua UDOM kamwe! Mimi ni CBE NA IFM,kutoka moyoni mwangu nikuapie nliyoyasema humu ni masahibu ya kweli kabisa!! Simlazimishi mtu kuamini wala siko katafuta sifa wakati hatufahamiani na mtu yeyete humu,nnachotaka ni kupata mwanga hili janga la kutakwa ovyo ntaliepukaje! Binafsi kwa sasa nakereka nalo mnno!! Na linaniweka ktk wakati mgumu sana
 
Hivi huwa mnajisikiaje mnapohadithia fulani anakutaka, fulani anakutongoza?!?
 


Da ha ha ha; that's why I like this game you fell me
 


Hapo kwenye bluu nimegundua kitu kimoja tu. FANTASY FANTASY FANTASY....Huna lolote!
 
Na hicho kibamia pia kimemkamua mama wa kihindi ambaye ni mke wa boss wako...shughuli.

Huyu jamaa ana FANTASY tu ya kutiana na mke wa bosi wake, mama mkwe, dada wa gf wake, house girl wa mama mkwe and the list goes on!
 
Ilikua mke wa boss sa iv mashemeji! Mh unajiachia sana to the extent unawafanya wakuzoee kupita kiac na hivyo wanajikuta wamevutiwa kimapenzi! SOLUTION: ukaribu na shemeji zako uwe na mipaka bana!

Hapa umenifungua macho,nashukuru sana kwahilo,kitabia ni kweli ndivyo nlivyo,kua mchangamfu muda mwingi,labda niwe na tatizo tena liwe kubwa,inawezekana hilo nalo linachangia! Ahsante sana Mama Isaac
 
we unauhakika gan wanakupendea kibamia hicho?au watembea uchi/uliwaonyesha/uliwafanya/au unajisifu so wanataka kuhakiki?

Hivi nikae hapa nijisifu hapa ili iwaje? Hakuna anijuaye hapa! Nimesema hunitaka na kua hali hio hunipa wakati mgumu si kama nafurahia hali hio! Na nimejileza wazi kua inanipa hali mbaya wakati huu ambapo nimeamua kua na m1 ambae nataka tuoane,nimejieleza hadi maumbile yangu ambayo awali nilikua naogopa waschana,hali hii ya maumbile kua madogo nayo ni kujisifu? Mara ngapi tunasikia kauli za dadazetu 'ananini yule ukikohoa kinatoka' ukweli uko hivo ndg yangu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…